Ugaidi Afrika
        
        TEHRAN (IQNA)- Shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh kaskazini mwa Mali limesababisha vifo vya zaidi ya watu 30.
                Habari ID: 3475764               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/09/11
            
                        Ugaidi
        
        TEHRAN (IQNA)- Mauaji ya Ayman al Zawahiri, kinara wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda katika operesheni ya droni iliyofanywa na wanajeshi wa Marekani, yamepokewa kwa hisia tofauti ya duru za kisiasa za nchi hiyo.
                Habari ID: 3475567               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/08/02
            
                        Ugaidi Afrika
        
        TEHRAN (IQNA)- Washirika wa kundi la kigaidi la Al Qaeda nchini Mali wamedai kuhusika katika shambulio kwenye kambi kuu ya kijeshi ya nchi hiyo, ambayo wamesema ni jibu la ushirikiano wa serikali na washauri wa kijeshi kutoka Russia..
                Habari ID: 3475532               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/24
            
                        Ugaidi
        
        TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Yemen inayoongozwa na Harakati ya Ansarullah imelaani kitendo cha magaidi walifurishaji wa Al Qaeda kubomoa msikiti wenye umri wa miaka 700 katika mkoa wa Al Hudaydah nchini Yemen.
                Habari ID: 3475486               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/10
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Kinara mmoja wa kundi la kigaidi la Al Qaeda amekiri kuwa kundi hilo linashirikiana kwa karibu na muungano vamizi wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
                Habari ID: 3474550               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/11/13
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Kwa uchache watu 10 wameuawa katika shambulizi la magaidi wakufurishaji  walilolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
                Habari ID: 3474421               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/10/14
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) -Wanajeshi wa Ufaransa walioko nchini Mali wamedai kumuangamiza kinara wa operesheni za kigaidi za tawi la kaskazini mwa Afrika la mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda.
                Habari ID: 3473358               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/11/14